Justus Javan Ochieng - Profile and Journalist Details
Find journalists that align with your industry, location and vision. Unlock Justus Javan Ochieng's full journalist profile, including location, coverage topics, current employer, biography and preferences. Sign up today and start building journalist relationships that fuel your startup's growth.
Get connected with journalists todayJustus Javan Ochieng
Verified
Kisumu
Beats
miceclimate changebusinessenvironmenttourism
Content
By Justus Javan Ochieng, Benson Matheka| Taifa Leo Verified RAIS William Ruto ameanza harakati za mapema kujiandaa kwa uchaguzi mkuu wa 2027, akionekana kutegemea mawaziri wanasiasa kumpigia debe huku akikabiliwa na changamoto tele. Mawaziri hawa, wakiwemo wa chama cha ODM chini ya Serikali Jumuishi, sasa wamechukua nafasi muhimu katika siasa za kitaifa, wakiongoza mikutano ya hadhara, vikao vya mashauriano na hata ziara za kukagua miradi ambazo zinatumika kama jukwaa la kuuza ajenda ya Kenya Kwanza na kumpigia debe Rais Ruto.
By Justus Javan Ochieng| Taifa Leo Verified Habari Orengo motoni kwa kukosoa Raila Na JUSTUS OCHIENG April 18th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 UHUSIANO baridi wa kisiasa kati ya kiongozi wa ODM Raila Odinga na Gavana wa Siaya James Orengo unazidi kuchacha, ukiibua kumbukumbu za mvutano wao uliotokana na siasa za mageuzi miaka ya 1990.
By Justus Javan Ochieng| Taifa Leo Verified Jamvi La Siasa Visiki mbele ya Ruto kuelekea uchaguzi wa 2027 KUCHAGULIWA tena kwa Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa 2027 kunakumbwa na visiki vingi vinavyohusisha misukosuko ya ndani ya muungano wa Kenya Kwanza, migawanyiko ya kisiasa, hali ngumu ya kiuchumi, uasi wa vijana, na mikakati ya upinzani kuungana kumpinga.
Company Info