Rahimu Fadhili - Profile and Journalist Details

Find journalists that align with your industry, location and vision. Unlock Rahimu Fadhili's full journalist profile, including location, coverage topics, current employer, biography and preferences. Sign up today and start building journalist relationships that fuel your startup's growth.

Get connected with journalists today
Rahimu Fadhili

Rahimu Fadhili

Verified

Journalist, HabariLeo

Dar es Salaam Region

Biography

Mwandishi wa Habari (TSN) HABARILEO & DAILYNEWS ━━SIASA/MICHEZO━━ ا إله إلا الله محمد رسول الله

Final Covers

Sports , Social Issues , Politics

Doesn’t Cover

Generic Lifestyle, Listicles, Entertainment News

Seniority Positions

Industries

Medium Formats

Content

Total articles 477

  • Dorothy Semu atwaa fomu kugombea urais

    By Rahimu Fadhili Verified| HabariLeo Verified DAR ES SALAAM: Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Dorothy Semu amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo leo Aprili 22, 2025. Dorothy amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa Chama cha ACT Wazalendo, Shaweji Mketo katika Ofisi za Makao Makuu ya ACT Wazalendo zilizopo Dar es Salaam.

    By Rahimu Fadhili Verified · HabariLeo

    Apr. 22, 2025

  • Mataifa 200 kushiriki jukwaa utalii wa vyakula

    By Rahimu Fadhili Verified| HabariLeo Verified WASHIRIKI  zaidi ya 300 kutoka mataifa 200 wanatarajia kushiriki Jukwaa la Pili la Utalii wa Vyakula ambavyo vinatajwa kuchagiza masoko ya vyakula na uchimu wa nchi kupitia ubunifu wa vyakula vya asili. Aidha jukwaa hilo linatarajia kufunguliwa kesho na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ambapo viongozi mbalimbali watahudhuria wakiwemo viongozi wa ngazi za juu katika sekta ya utaliu na ukarimu, watumishi wa serikali na wataalam wa chakula.

    By Rahimu Fadhili Verified · HabariLeo

    Apr. 22, 2025

  • Dorothy Semu atwaa fomu kugombea urais

    By Rahimu Fadhili Verified| HabariLeo Verified DAR ES SALAAM: Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Dorothy Semu amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo leo Aprili 22, 2025. Dorothy amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa Chama cha ACT Wazalendo, Shaweji Mketo katika Ofisi za Makao Makuu ya ACT Wazalendo zilizopo Dar es Salaam.

    By Rahimu Fadhili Verified · HabariLeo

    Apr. 22, 2025

As seen in

Company Info

HabariLeo